Mkurugenzi wa Huduma za Kinga Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Leonard Subi akiongea na wadau mbalimbali wa sekta ya afya hawapo pichani kuhusu tiba kinga za magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele wakati wa kufunga mkutano wa mwaka wa kupitia,kujadili na kupanga utekelezaji wa mpango wa Taifa wa kudhibiti magonjwa hay oleo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Huduma za Kinga Wizara ya Afya ,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Leonard Subi kulia akifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zinatolewa na wadau mbalimbali wa sekta ya afya hawapo pichani wakati wa kufunga mkutano wa mwaka wa kupitia, kujadili na kupanga utekelezaji wa mpango wa Taifa wa kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mratibu wa Taifa wa mpango wa kutokomeza magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele nchini Dkt. Upendo Mwingira.
Mratibu wa Taifa wa mpango wa kutokomeza magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele nchini Dkt. Upendo Mwingira akiongea na wadau mbalimbali wa sekta ya afya hawapo pichani kuhusu tiba kinga za magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele wakati wa kufunga mkutano wa mwaka wa kupitia, kujadili na kupanga utekelezaji wa mpango wa Taifa wa kudhibiti magonjwa hay oleo jijini Dar es Salaam.
Wadau mbalimbali wa Sekta ya Afya kwa upande wa magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele wakifuatilia kwa makini hotuba ya Mkurugenzi wa Huduma za Kinga Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Leonard Subi hayupo pichani wakati wa kufunga mkutano wa mwaka wa kupitia,kujadili na kupanga utekelezaji wa mpango wa Taifa wa kudhibiti magonjwa hayo leo jijini Dar es Salaam.
Wadau mbalimbali wa Sekta ya Afya kwa upande wa magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele wakifuatilia kwa makini hotuba ya Mkurugenzi wa Huduma za Kinga Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Leonard Subi hayupo pichani wakati wa kufunga mkutano wa mwaka wa kupitia, kujadili na kupanga utekelezaji wa mpango wa Taifa wa kudhibiti magonjwa hayo leo jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment