TANGAZO


Thursday, June 7, 2018

WAZIRI WA MAJI NA UMWAGILIAJI NA WAZIRI WA NCHI, OR-TAMISEMI WATEKELEZA MAAGIZO YA RAIS DK. MAGUFULI

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe (Mb), kushoto, akiongea na vyombo vya habari kuhusu utekelezaji wa wizara yake kusimamia sekta  ya maji na wataalam wake katika ngazi zote kuanzia ngazi ya kitaifa hadi ngazi ya kijiji. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo (Mb). 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe. Selemani Jafo (Mb). Kulia, akiongea kuhusu sekta ya maji na wataalam wake kuwajibika wizara ya maji kuanzia ngazi ya Kitaifa hadi Kijiji. Kushoto ni Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe  (Mb). 



No comments:

Post a Comment