Mkurugenzi wa Motage, Teddy Mapunda, akizungumza katika uzinduzi wa kampeni hiyo, ya kuchangia yatima pamoja na watoto wanaoishi katika mazingira magumu nchini, kiasi cha sh. bil. 1.2 za Tanzania. Katikati ni Mkurugenzi wa Taifa wa vituo vya kulelea yatima vya SOS Children's Villages Tanzania, Anatoli Rugaimukamu na kulia ni Jane Lyayuka wa Quality Assuarance.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Motage, Teddy Mapunda, akizungumza katika hafla ya uzinduzi huo. Katikati ni Mkurugenzi wa SOS, kituo cha Dar es Salaam, Angolwisye Mwollo-Ntallima na kushoto ni Wilson Musoke kutoka Push Mobile.
Mkurugenzi wa Taifa wa vituo vya kulelea yatima vya SOS Children's Villages Tanzania, Anatoli Rugaimukamu, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya kuchangisha kiasi cha sh. bilioni 1.2 kwa ajili ya kusaidia huduma mbalimbali kwa yatima na watoto wanaoishi katika mazingira magumu kwa ushirikiano na Kampuni ya Montage. Wapili kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Motage, Teddy Mapunda, Mkurugenzi wa SOS kituo cha Dar es Salaam, Angolwisye Mwollo-Ntallima (wapili kushoto) na Wilson Musoke wa Push Mobile.
Mkurugenzi wa Taifa wa vituo vya kulelea yatima vya SOS Children's Villages Tanzania, Anatoli Rugaimukamu, akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya kuchangisha kiasi cha sh. bilioni 1.2 kwa ajili ya kusaidia huduma mbalimbali kwa yatima na watoto wanaoishi katika mazingira magumu kwa ushirikiano na Kampuni ya Montage.
Baadhi ya waandishi wa habari, wakichukua habari zilizokuwa zikitolewa katika hafla hiyo na viongozi wa SOS na Kampuni ya Montage.
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Montage na SOS, pamoja na wageni waalikwa wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa kampeni hiyo, Hoteli ya Serena jijini, Dar es Salaam leo.
Baadhi ya waandishi wa habari, wakichukua habari zilizokuwa zikitolewa katika hafla hiyo na viongozi wa SOS na Montage.
Waandishi wa habari, wakiwa kazini wakichukua habari zilizokuwa zikitolewa katika hafla hiyo na viongozi wa SOS na Montage jijini leo.
Mkurugenzi wa Taifa wa vituo vya kulelea yatima vya SOS Children's Villages Tanzania, Anatoli Rugaimukamu (katikati), akizungumza katika hafla hiyo.
Mkurugenziwa Motage, Teddy Mapunda, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo, ya kuchangia yatima pamoja na watoto wanaoishi katika mazingira magumu nchini, kiasi cha sh. bil. 1.2 za Tanzania.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Motage, Teddy Mapunda, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo, ya kuchangia yatima pamoja na watoto wanaoishi katika mazingira magumu nchini, kiasi cha sh. bil. 1.2 za Tanzania. |
Mkurugenzi wa Kampuni ya Motage, Teddy Mapunda (katikati), akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo.
Wilson Musoke wa Push Mobile, akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo, ya kuchangia yatima na watoto wanaoishi katika mazingira magumu nchini sh. bil. 1.2 za Tanzania.
Mwakilishi wa Hoteli ya Serena, jijini Dar es Salaam, Seraphin Lusala (kushoto), ambao ni moja wa wadhamini katika kampeni hiyo, akizungumza katika hafla hiyo, jijini leo.
Mkurugenzi wa Taifa wa vituo vya kulelea yatima vya SOS Children's Villages Tanzania, Anatoli Rugaimukamu, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo.
Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari, wakiwa kazini, wakichukua habari zilizokuwa zikitolewa katika hafla hiyo na viongozi wa SOS na Kampuni ya Montage jijini leo.
Waandishi wa habari, wakiwa katika hafla ya uzinduzi huo, hotelini hapo leo.
Jane Lyayuka (kulia) wa Quality Assuarance, akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi huo, jijini leo.
SOS CHILDREN’S VILLAGES TANZANIA IN PARTNERSHIP WITH MONTAGE LIMITED
LAUNCHTHE FUNDRAISING CAMPAIGN INTENDING TO RAISE 1.2 BILLION TANZANIA
SHILLINGS FOR ORPHANS AND CHILDREN WITHOUT PARENTAL CARE.
SOS Children’s Villages Tanzania in
collaboration with Montage Tanzania, are aiming to raise funds to support the
well-being of children without parental care and those at risk of losing
parental care. The goal of the fundraising effort is to raise 1.2 Billion
Tanzania Shillings.
The theme of the campaign is “Care
for me! Your contribution can achieve a Solution” in order to reach as many
children as possible who are in need of shelter, health and educational needs.
Speaking at the Press Conference
today SOS National Director MrAnatoliRugaimukamu said, the fundraising
activities will be held in 4 placeswhere SOS Children’s Villages Runs its
programs in Tanzania, namely Zanzibar, Arusha, Mwanza and Dar Es Salaam. Our
mission here is to build families for children in need, help them shape their
own future and take part in the development of their communities….he added…
In order tofulfill our mission and
provide services to the children in need, we rely on the generosity of
individuals and businesses for support. Even though SOS Children’s Villages has
been dependent on Sponsors from abroad, the organization believes that there is
a dire need to start building this very culture among Tanzanians where people
are touched and moved to support children in need and develop behavior of
giving back to the community!!!
Ms Teddy Mapunda, Managing Director
Montage said, Montage Limited is very privileged to partner with SOS Children’s
Villages this year, and we are looking forward to acquire support from all the
community around us, individual,corporate world, Government institutions, Private
institutions, Donors, Community etc.
In October we shall have 2
fundraising events one in Zanzibar and the other one in Arusha. You can send
your contributions via Bank Account number 001-4009337, Barclays Bank, Ohio
Branch or email info@montagetz.com, national.office@sos-tanzania.org.
In order to extend our
interventions to reach more children in need we call upon your generous support
to raise 1.2 Billion Tanzania Shillings.
This event has been
sponsored by Clouds Media Group, ITV/Radio One, Mwananchi Communications Ltd,
Serena Hotels, Delfina Promotions Limited, Zenji FM, Cocacola, Push Mobile and
Coastal Aviation
About SOS Children’s Villages
SOS children’s Village Tanzania
is a non-profit Tanzanian organization working to build families for children
in needand helping them to shape their own futures and share in the development
of their own communities. The organization was established in Tanzania since
1991, to respond to the wider range of children living without the care of the
parents. Affiliated with SOS Children Village international, SOS children’s
Villages Tanzania is an autonomous organizations with an independent board of
trustees.
Currently SOS CV is
caring for over 500 children in its three villages in Arusha, Zanzibar and Dar
es Salaam and over 3000 children in the same regions through its family
strengthening program, within the youth program SOS Children’s villages is
supporting a number of youth to realize their potentials; over 50 youth are
undertaking university studies abroad and in the country while a number of many
other youth are doing variety of courses in colleges.
Over 100 children raised
and supported by SOS CV from infancy stage are now independent productive young
adults engaged in different fields such as teaching, accountancy, ICT, Hotel,
carpentry and few are in government agencies like TRA.
Press Contact Person: Teddy Mapunda, Email: teddy@montagetz.com, 0784747666
No comments:
Post a Comment