Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akizungumza na wageni waliohudhuria
Sherehe ya Siku ya Watu wa Korea Kusini iliyoadhimishwa jana jijini Dar es
Salaam.
Wageni waalikwa
waliohudhuria Sherehe ya Siku ya Watu wa Korea Kusini wakimsikiliza Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa katika hafla hiyo.
Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kulia, na Balozi wa Serikali
ya Jamhuri ya Korea Kusini Bw. Song, Geum-young (katikati), wakikata keki kama ishara
ya kujenga mahusiano mema baina ya nchi hizo mbili katika Sherehe ya Siku ya Watu wa Korea Kusini iliyoadhimishwa jana
jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akigonga glasi na
Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini Bw. Song,
Geum-young kama ishara ya kujenga mahusiano mema baina ya nchi hizo mbili
katika Sherehe ya Siku ya Watu wa Korea Kusini
iliyoadhimishwa jana jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa
Makame Mbarawa akibadilishana mawazo na wageni waalikwa katika hafla hiyo.(Picha zote na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano)
No comments:
Post a Comment