Kamishna
wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji (mstaafu) Salome Kaganda
akiongea na Kamati ya Bunge ya Sheria
kutoka Uganda wakati wabunge hao walipofanya ziara ya kujifunza jinsi
Sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma inavyofanya kazi hasa Baraza la
Maadili linavyofanya kazi. (Picha zote na
Benjamin Sawe-Maelezo)
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Sheria ya Uganda Mh.
Jacob Oboth akisisitiza jambo wakati wabunge hao walipofanya ziara ya kujifunza
jinsi Sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma inavyofanya kazi hasa Baraza
la Maadili linavyofanya kazi.
Mkuu
wa Kitengo cha Sheria kutoka Sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma
akijibu swali kutoka kwa Kamati ya Bunge ya Sheria kutoka Uganda wakati wabunge hao walipofanya
ziara ya kujifunza jinsi Sekretarieti hiyo inavyofanya kazi hasa Baraza la
Maadili linavyofanya kazi.
Kamishna
wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji mstaafu Salome Kaganda
akiongea na Kamati ya Bunge ya Sheria
kutoka Uganda wakati wabunge hao walipofanya ziara ya kujifunza jinsi
Sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma inavyofanya kazi hasa Baraza la
Maadili linavyofanya kazi.
Mjumbe
wa Kamati ya Bunge ya Sheria kutoka Uganda akiuliza swali kwa Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya
Viongozi wa Umma Jaji mstaafu, Salome Kaganda (hayupo pichani) wakati wabunge
hao walipofanya walipofanya ziara ya
kujifunza jinsi Sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma inavyofanya kazi
hasa Baraza la Maadili linavyofanya kazi.
Kamishna
wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji mstaafu, Salome Kaganda
akiongoza kikao cha mafunzo wakati Kamati ya Bunge ya Sheria kutoka Uganda wakati wabunge hao walipofanya
ziara ya kujifunza jinsi Sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma
inavyofanya kazi hasa Baraza la Maadili linavyofanya kazi.
Kamishna
wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji (mstaafu) Salome Kaganda
(katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Kamati ya Bunge ya
Sheria kutoka Uganda na watumishi wa
Sekretarieti hiyo mara baada ya Kamati hiyo kujifunza jinsi Sekretarieti ya
maadili ya viongozi wa umma inavyofanya kazi hasa Baraza la Maadili
linavyofanya kazi.
No comments:
Post a Comment