TANGAZO


Wednesday, March 18, 2015

Yanga yaifunga Kagera Sugar Ligi Kuu ya Vodacom Uwanja wa Taifa Dar es Salaam

Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom kati ya timu yao hiyo na Kagera Sugar, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Yanga imeshinda mabao 2-1. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Ubao wa matangazo ukionesha Yanga mabao 2 na Kagera Sugar bao 1.
Beki wa Kagera Sugar, Errick Kyaruzi akiondoa mpira kwenye miguu ya Jeryson Tegete wa Yanga wakati wa mchezo huo leo.
Beki wa Kagera Sugar,Ibrahim Job, akiondoa mpira kwenye miguu ya Mrisho Ngassa wa Yanga wakati wa mchezo huo leo.
Rashid Mandawa wa Kagera Sugar, akijaribu kumpiga chenga Rajab Zahir wa Yanga, wakati wa mchezo huo.
Mashabiki wa Yanga wakionesha bango lenye ujumbe kwa kocha wa timu hiyo kwa kumpanga mshambuliaji wao, Jerryson Tegete.
Mashabiki wa Yanga wakiongea na kocha wa timu hiyo, Hans Pluijm baada ya mchezo huo, kumalizika.

No comments:

Post a Comment