TANGAZO


Wednesday, March 18, 2015

Dkt. Kebwe aweka jiwe la msingi la maabara ya kupima Ebola

Baadhi ya watumishi wa maabara ya hospitali ya Mt.benedict ndanda wakifuatilia uwekaji wa jiwe hilo la msingi (Picha zote na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii)
Naibu Waziri wa Afya, Dk. Kebwe (katikari) na baadhi ya viongozi wa Wilaya na wa Hospitali ya Mt. Benedict, Ndanda kwa pamoja wakijiandaa kukata utepe wa jiwe hilo.
Naibu Waziri wa Afya, Dk. Kebwe na baadhi ya viongozi wa wilaya na wa hospitali ya Mt. Benedict, Ndanda kwa pamoja wakikata utepe wa jiwe hilo.
Naibu Waziri, Dk. Kebwe akikata utepe wa jiwe la msingi la  ujenzi wa maabara ya kiuchunguzi la ghorofa moja.
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Steven Kebwe akilisoma jiwe hilo. 
Jiwe la msingi la ujenzi wa maabara ya kiuchunguzi ya magonjwa ya Milipuko yakiwemo ebola, dengue, murbug na chipungunya.

No comments:

Post a Comment