Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa (kulia), akisalimiana na Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Sukwa Said Sukwa alipomtembelea kwa ajili ya kumjulia hali, nyumbani kwake, eneo la Mpendae, mjini Unguja leo. Mhe. Lowassa alikuwa Zanzibar kwa mapumziko ya kusherekea skukuu ya Krismasi. (Picha zote na Mpigapicha Wetu)
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa (kulia), akifurahia jambo na Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Sukwa Said Sukwa alipomtembelea nyumbani kwake eneo la Mpendae, mjini Unguja leo. Mhe. Lowassa alikuwa Zanzibar kwa mapumziko ya kusherekea Sikukuu ya Krismasi. Kushoto ni Mke wa Sukwa, Fatma Mussa.
Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa akizungumza na aliyekuwa Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Vijana wa CCM, Sukwa Said Sukwa alipomtembelea nyumbani kwake eneo la Mpendae, mjini Unguja kumjulia hali.
Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa (kulia), akisalimiana na Katibu Mkuu
wa zamani wa Umoja wa Vijana wa CCM, Sukwa Said Sukwa, alipomtembelea kwa
ajili ya kumjulia hali, nyumbani kwake eneo la Mpendae, mjini Unguja leo. Mhe. Lowassa alikuwa Zanzibar kwa mapumziko ya kusherekea skukuu ya
Krismasi.
Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa akipigapicha ya pamoja na familia ya Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Vijana wa CCM, Sukwa Said Sukwa, alipomtembelea nyumbani kwake eneo la Mpendae, mjini Unguja leo.
No comments:
Post a Comment