TANGAZO


Tuesday, June 3, 2014

Tigo na DTBi zasaini mkataba wa ushirikiano kuwaendeleza wajasiriamali wa Teknohama katika kukuza vipaji vyao

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa (katikati), akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Sayansi na Teknolojia, Dk. Hassan Mshinda wakati Kampuni ya ya Tigo na Dar Teknohama Business Incubator (DTBi) Costec, zilipotialiana saini mkataba wa ushirikiano wa kuwaendeleza wajasiriamali wa Teknohama katika kukuza vipaji vyao na kutumia kazi zao kibiashara ili ziweze kuwanufaisha kwa kukuza kipato chao. Kulia ni Meneja Mkuu wa Kampuni ya simu ya Tigo, Diego Gutierrez. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mtendaji Mkuu wa Dar Teknohama Business Incubator (DTBi) Costec, Mhandisi George Mulamula (kulia), akizungumza katika hafla ya kutiliana saini makubaliano ya ushirikiano katika DTBi na Kampuni ya Tigo wa kuwaendeleza wajasiriamali wa Teknohama katika kukuza vipaji vyao na kutumia kazi zao kibiashara ili ziweze kuwanufaisha kwa kukuza kipato chao. Wa pili kushoto ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa, kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Sayansi na Teknolojia, Dk. Hassan Mshinda na wa pili kulia ni Meneja Mkuu wa Kampuni ya Tigo, Diego Gutierrez. 
Mtendaji Mkuu wa Dar Teknohama Business Incubator (DTBi) Costec, Mhandisi George Mulamula (kulia), akizungumza katika hafla hiyo ya kutiliana saini makubaliano ya ushirikiano katika DTBi na Kampuni ya Tigo katika kuwaendeleza wajasiriamali wa Teknohama nchini.
Baadhi ya Maofisa wakiwa katika hafla hiyo, wakifuatilia masuala mbalimbali yaliyokuwa yakitolewa na viongozi wa Kampuni ya Tigo na MDTBi.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Tigo, Diego Gutierrez, akitoa hotuba yake wakati wa hafla ya utiaji saini makubaliano hayo, Dar es Salaam jana.    
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Tigo, Diego Gutierrez, akitoa hotuba yake wakati wa hafla ya utiaji saini makubaliano hayo, Dar es Salaam jana.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Tigo, Diego Gutierrez, akitoa hotuba yake wakati wa hafla ya utiaji saini makubaliano hayo, Dar es Salaam jana. Kushoto ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa na kulia ni Mtendaji Mkuu wa Dar Teknohama Business Incubator (DTBi) Costec, Mhandisi George Mulamula.
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Sayansi na Teknolojia, Dk. Hassan Mshinda, akipiga makofi wakati alipokuwa akizungumza katika hafla hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Sayansi na Teknolojia, Dk. Hassan Mshinda, akizungumza katika hafla hiyo kabla ya kumkaribisha Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa (wa pili kushoto), kutoa hotuba yake.
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa, akitoa hotuba yake wakati wa hafla hiyo ya kutialiana saini mkataba wa ushirikiano wa kuwaendeleza wajasiriamali wa Teknohama katika kukuza vipaji vyao na kutumia kazi zao kibiashara ili ziweze kuwanufaisha kwa kukuza kipato chao, kati ya Kampuni ya Tigo na DTBi), Dar es Salaam jana.
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa, akifafanua jambo wakati akitoa hotuba yake katika hafla hiyo ya kutialiana saini mkataba wa ushirikiano wa kuwaendeleza wajasiriamali wa Teknohama katika kukuza vipaji vyao na kutumia kazi zao kibiashara ili ziweze kuwanufaisha kwa kukuza kipato chao, kati ya Kampuni ya Tigo na DTBi), Dar es Salaam jana.
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa, akifafanua jambo alipokuwa akitoa hotuba yake katika hafla hiyo ya kutialiana saini mkataba wa ushirikiano wa kuwaendeleza wajasiriamali wa Teknohama katika kukuza vipaji vyao na kutumia kazi zao kibiashara ili ziweze kuwanufaisha kwa kukuza kipato chao, kati ya Kampuni ya Tigo na DTBi), Dar es Salaam jana.
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa, akifafanua jambo wakati akitoa hotuba yake katika hafla hiyo.
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa, akipongezwa na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Tigo, Diego Gutierrez kutokana na hotuba yake hiyo.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya simu ya Tigo, Diego Gutierrez (kulia) na Mtendaji Mkuu wa Dar Teknohama Business Incubator (DTBi) Costec, Mhandisi George Mulamula (kushoto), wakitia saini makubaliano ya ushirikiano wa kuwaendeleza wajasiriamali wa Teknohama katika kukuza vipaji vyao na kutumia kazi zao kibiashara ili ziweze kuwanufaisha kwa kukuza kipato chao. Wanaoshuhudia kutoka kushoto ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Sayansi na Teknolojia, Dk. Hassan Mshinda.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya simu ya Tigo, Diego Gutierrez (kulia) na Mtendaji Mkuu wa Dar Teknohama Business Incubator (DTBi) Costec, Mhandisi George Mulamula (kushoto), wakitia saini makubaliano ya ushirikiano wa kuwaendeleza wajasiriamali wa Teknohama katika kukuza vipaji vyao na kutumia kazi zao kibiashara ili ziweze kuwanufaisha kwa kukuza kipato chao. Wanaoshuhudia kutoka kushoto ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Sayansi na Teknolojia, Dk. Hassan Mshinda.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Tigo, Diego Gutierrez (kulia), akibadilisha hati za mkataba huo na Mtendaji Mkuu wa Dar Teknohama Business Incubator (DTBi) Costec, Mhandisi George Mulamula. 
Meneja Mkuu wa Kampuni ya simu ya Tigo, Diego Gutierrez (kushoto) na Mtendaji Mkuu wa Dar Teknohama Business Incubator (DTBi) Costec, Mhandisi George Mulamula (kulia), wakitia saini makubaliano ya ushirikiano wa kuwaendeleza wajasiriamali wa Teknohama katika kukuza vipaji vyao na kutumia kazi zao kibiashara ili ziweze kuwanufaisha kwa kukuza kipato chao. Wanaoshuhudia kutoka kushoto ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Sayansi na Teknolojia, Dk. Hassan Mshinda.
Mtendaji Mkuu wa Dar Teknohama Business Incubator (DTBi) Costec, Mhandisi George Mulamula, akijibu maswali ya waandishi wa habari mara baada ya kusaini mkataba huo jana jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa wajasiriamali wa Dar Teknohama Business Incubator (DTBi) Costec, akizungumza katika hafla hiyo.
Mmoja wa wajasiriamali wa Dar Teknohama Business Incubator (DTBi) Costec, akimwelezea jambo Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa. 
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa.

No comments:

Post a Comment