TANGAZO


Tuesday, June 3, 2014

Wasanii kuadhimisha Siku ya Msanii Duniani Oktoba 25

Msanii Peter Mwendapole (wa pili kushoto akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo kuhusu maadhimisho ya Siku ya Msanii Duniani, itakayoadhimishwa Oktoba 25 kwa shughuli mbalimbali, ikiwemo semina, makongamano na utoaji wa tuzo kwa wasanii na waliochangia katika kuendeleza sanaa nchini.(Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mkurugenzi wa Kampuni ya HAAK NEEL Production, Godfrey Katula (wa pili kushoto), akizungumza katika hafla hiyo. Kushoto ni Mkurugenzi Ukuzaji Sanaa wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Vivian Shalua.
Mkurugenzi Ukuzaji Sanaa wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Vivian Shalua (wa pili kulia), akizungumza wakati wa mkutano huo na waandishi wa habari jijini leo.
Rais wa Shirikisho la Sanaa za Ufundi Tanzania, Adrian Nyangamalle (kulia), akizungumza katika mkutano huo.

Rais wa Shirikisho la Sanaa za Ufundi Tanzania, Adrian Nyangamalle (kulia), akifafanua jambo wakati akizungumza katika mkutano huo.
Rais wa Shirikisho la Sanaa za Ufundi Tanzania, Adrian Nyangamalle (kulia), akizungumza katika mkutano huo.
Msanii wa Sanaa za Mitindo, Asia Idarous (kulia), akizungumza katika mkutano huo.
Msanii wa Sanaa za Mitindo, Asia Idarous, akizungumza kuhusu maadhimisho hayo, yatakavyokuwa siku hiyo.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia maelezo yaliyokuwa yakitolewa katika mkutano huo.
Waandishi wa habari wakichukua maelezo yaliyokuwa yakitolewa katika mkutano huo.
Waandishi wa habari wakiandika maelezo yaliyokuwa yakitolewa katika mkutano huo.
Ofisa Sanaa wa Basata, Philemon Mwasanga (kushoto), akizungumza wakati wa mkutano huo na waandishi wa habari.
Ofisa Sanaa wa Basata, Philemon Mwasanga (kushoto), akizungumza wakati wa mkutano huo na waandishi wa habari.
Ofisa Sanaa wa Basata, Philemon Mwasanga (kushoto), akifafanua jambo wakati wa mkutano huo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.
Waandishi wa habari wakiwa kazini wakati wa mkutano huo.

Mkurugenzi Ukuzaji Sanaa wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Vivian Shalua, akijibu maswali ya waandishi wa habari, wakati wa mkutano huo.
Msanii Peter Mwendapole (wa pili kushoto akijibu maswali ya waandishi wa habari, wakati wa mkutano huo, jijini leo.
Mkurugenzi Ukuzaji Sanaa wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Vivian Shalua, akijibu maswali ya waandishi wa habari, katika mkutano huo.
Mkurugenzi Ukuzaji Sanaa wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Vivian Shalua, akijibu maswali ya waandishi wa habari, katika mkutano huo.
Ofisa Sanaa wa Basata, Philemon Mwasanga (kushoto), akifafanua jambo kwa waandishi wa habari katika mkutano huo.
Mkurugenzi Ukuzaji Sanaa wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Vivian Shalua, akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari, wakati wa mutano huo, jijini leo.

No comments:

Post a Comment