TANGAZO


Tuesday, June 3, 2014

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, Nape waancha simulizi Simanjiro

*Watembelea Migodi ya wachimbaji wadogo wadogo wa madini Mirerani

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi katika Kijiji cha Landanai kilichopambwa na Mlima Landanai, wilayani Simanjiro. Kianana katika ziara hiyo aliyoambatana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye walikagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuta Ilai ya CCM, walikagua maandalizi ya yaUchaguzi wa Serikali za Mitaana kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia uumbuzi pamoja na kuimarisha uhai wa chama. Wamefanya ziara ya siku 26 katika mikoa ya Tabora, Singida na Manyara.
Wananchi wa Kijiji cha Landanai, wilayani Simajiro wakishagilia wakati Kinana akihutubia.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwezeshaji na Uwekezaji, Dk. Mary Nagu akihutubia katika ijiji cha Landanai wakati wa mkutano huo.
Mbunge wa Jimbo la Simanjiro, Christopher Ole Sendeka, akielezea miradi mbalimbali inayotekelezwa jimbo humo kwa kuata utekelezaji wa Ilani ya CCM.Mkutano huo ulihutubiwa pia na Kinana ulifanyika Katika Kijiji cha Landanai alichozaliwa mbunge huyo.
Kinana akisaidia kufitisha mlango  wakati wa uzinduzi wa jingo la ofisi ya CCM Tawi la Kandasikira, Kata ya Shamnbalai, Mirerani, Simajiro.
Kinana akikagua ujenzi wa jengo la Kituo cha Afya cha Mirerani, wilayani Simanjiro, Manyara.
Kinana akikagua tanki la khiadhi maji katika Kata ya Naisinyai, Mirerani, wilayani Simanjiro. Tanki hilo la maji litakuwa na uwezo wa kuhifadhi lita za ujazo wa maji 36 kwa saa na kuhudumia watu 25,000
Mkurugenzi wa mgodi wa madini ya Tanzanite, Suzie Didas akijieleza mbele ya Kinana  jinsi anavyuendesha mgodi huo, wakati Kinana alipotembelea migodi ya wachimbaji madini wadogo wadogo. Suzie ni mmoja wa wasichana wanaomiliki migodi ya madini nchini.
Kinana akiangalia jiwe lenye madini ya Tanzanite alipotmbelea mgodi wa mchimbaji mdogo mdogo wa Suzie Dida, Mirerani, wilayani Simanjiro, Manyara.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdurahman Kinana akilakiwa na Mbunge wa Jimbo la Simanjiro,  Christopher ole Sendeka wakati wa hafla  katika Kijiji cha Londrekes Katwai A, Simanjiro,
Wananchi wakishangilia kwa furaha wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana katika Kijiji cha Loondrekes, Kitwai A, wilayani Simanjiro, Manyara.
Kinana akiwasili katika Kijiji cha Kitwai A, wilayani Simanjiro, mkoani Manyara.
Kinana akikagua ujenzi wa jengo la Ofisa Mtendaji Kata ya Kitwai A, wilayani Simanjiro.
Sehemu ya umati wananchi wa Kijiji cha Kitwai wakiwa katika mkutano huo.
Wananchi wa Kijiji cha Kitwai, wakishangilia wakati Kinana akihutubia katika kijiji hicho.
Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Kitwai A, Simanjiro, mkoani Manyara.
Mbunge wa Jimbo la Simanjiro, Christopher ole Sendeka, akielezea mbele ya Kinana (kushoto) pamoja na wananchi kuhusu miradi mbalimbali iliyotekelezwa jimboni humo.
Kinana akiangalia moja  kati ya ng'ombe dume wa kisasa alipokagua ufugaji wa ng'ombe eneo la Orkirung'rung, Orkesemet, Simanjiro
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akiswaga ng'ombe kwenda ndani ya josho eneo la Orkirung'rung Mjini Orkesumet, Simanjiro
Kinana na viongozi wengine wa CCM wakiangalia ng'ombe waliokuwa wakioshwa katika josho  eneo la Orkirung'rung, Simanjiro
Kinana na viongozi wengine wa CCM wakiangalia ng'ombe katika josho eneo la Orkirung'rung, Mjini Orkesumet, Simanjiro
 Kinana akiangalia ng'ombe wa kisasa chotara  katika josho hilo.
Baadhi ya mbuzi wa mradi unaoendeshwa na CCM Wilaya ya Simanjoro.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri  Mkuu Uwezeshaji na Uwekezaji, Mary Nagu akizungumza katika mkutano wa halmashauri Kuu ya Wilaya ya Simajiro.

 Wasanii wakitumbuiza wakati wa mkutano wa hadhara mjini Orkesumet, Simanjiro
 Nape akihutubia katika mkutano huo
  Kinana akihutubia katika mkutano huo wa hadhara katika Mji wa Orkesumet, Simnjiro
 Mbunge waJimbo la imanjiro, Christopher ole Sendeka akihutubia wakati wa mkutano huo
 Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Mji wa Orkesumet
Wanachama wapya wa CCM wakila kiapo cha utii cha chama hicho wakati wa mkutano huo wa hadhara katika Mji wa Orkesumet, wilayani Simajiro. (Picha zote kwa hisani ya Kamanda wa Matukio Blog)

No comments:

Post a Comment