Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na makamu wa Rais Dkt. Mohamed
Gharib Bilal muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere akitokea Toronto Canada ambapo yeye
na mwenyeji wake waziri Mkuu wa Canada Stephen Harper waliongoza mkutano
wa kimataifa uliohusu kuboresha afya ya wanawake na watoto na kupunguza
vifo vya wanawake wanapojifungua. (Picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment