Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akitazama baadhi ya michoro unayotumika katika
kuwafundishia wanafunzi wasiona wakati alipotombelea shule maalu ya
Wasioona ya Bigiri Dodoma Juni 4,2014. Kulia ni Mratibu wa Mpango wa
kuifadhili shule hiyo, Bw. V. Ramadhar Reddy ambaye ni Ofisa Mtendaji
Mkuu wa Kampuni ya SURA.

Mkuu, Mizengo Pinda akikagua majengo na vifaa vya kufundishia wakati
alipotembelea Shule Maalu ya Wasioona ya Bigiri iliyopo Dodoma Juni 4,
2014 Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Reheme Nchimbi Juni 4,
2014.

Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na walimu, baadhi ya wanafunzi na
watendaji wa wilaya ya Chamwino wakati alipotembelea shule ya
wasiiona ya Bigiri Juni 4, 2014, Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,
Dk. Rehema Nchimbi na kulia ni Mratibu wa Mpango wa kuifadhili shule
hiyo, Bw. V. Ramadhar Reddy. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment