Msanii wa muziki wa kizazi kipya Benard Paul maarufu kama Ben pol akitoa burudani wakati wa tamasha la Tulizana tuko wangapi, lililofanyika mjini Iringa jana katika viwanja vya Samora.
Umati wa watu walioudhuria kampeni ya Tulizana tuko wangapi, iliyofanyika jana katika viwanja vya Samora, mkoani Iringa. wakiwa katika tamasha hilo, lililokuwa likilenga kutoa elimu kwa wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu kuhusu athari za mapenzi ya kimtandao kwa kutokuwa waaminifu na kuhamasisha juu ya matumizi sahihi ya kondomu ikiwa na pamoja na kuwa na mpenzi mmoja.elimu juu ya saratani ya mlango wa kizazi.
Umati wa watu walioudhuria kampeni ya Tulizana tuko wangapi, iliyofanyika jana katika viwanja vya Samora, mkoani Iringa, ukishuhudia wasanii mbalimbali waliokuwa wakitumbuiza, viwanjani hapo jana.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Benard Paul maarufu kama Ben pol akitoa burudani wakati wa tamasha hilo la Tulizana tuko wangapi, lililofanyika jana katika viwanja vya Samora, mkoani Iringa
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Farid Kubanda maarufu kama Fid q akitoa burudani wakati wa tamasha la Tulizana tuko wangapi,lililofanyika jana katika viwanja vya Samora hapa mkoani Iringa,likilenga kutoa elimu kwa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu kuhusu athari za mapenzi ya kimtandao ,kwa kutokuwa waaminifu na kuhamasisha juu ya matumizi sahihi ya kondomu ikiwa na pamoja na kuwa na mpenzi mmoja.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Farid Kubanda maarufu kama Fid q akiwapagawisha mashabiki na wananchi waliojitokeza kwenye tamasha hilo.
Umati wa watu walioudhuria kampeni ya Tulizana tuko wangapi, iliyofanyika jana katika viwanja vya Samora, mkoani Iringa. Huku kampeni hiyo ikilenga kutoa elimu kwa wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu kuhusu athari za mapenzi ya kimtandao kwa kutokuwa waaminifu na kuhamasisha juu ya matumizi sahihi ya kondomu ikiwa na pamoja na kuwa na mpenzi mmoja. Pia tamasha hilo lilitoa huduma mbalimbali ikiwemo upimaji wa virusi vya Ukimwi kwa hiari, kutoa elimu kuhusu faida za kutahiriwa kwa wanaume ikiwa ni moja ya njia ya kuzuia maambukizi ya ukimwi pamoja na elimu juu ya saratani ya mlango wa kizazi.
No comments:
Post a Comment