Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipanda kusaidia kuenga jingo la Kituo cha Polisi cha Kata ya Ilemba, alipozuru Jimbo la Kwera, Sumbawanga Vijijini , akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM.
Kinana akisaidia kujenga jengo la Kituo cha Polisi cha Kat ya Ilemba, katika Jimbo la Kwera, Sumbawanga Vijijini, Rukwa.Kinana akitoka kukagua ujenzi wa Zahanati ya Kata ya Ilemba wakati wa ziara ya kikazi Sumbwanga Vijijini.
Kinana akisalimiana na wananchi alipowasili kwenye mkutano wa hadhara katika Kata ya Ilemba, ambapo aliwasifia wakazi wa jimbo hilo kw uchapaji kazi hasa katika suala la kilimo. Aliahidi kuisukuma Serikali kujenga haraka barabara katika eneo hilo.
Kinna akimkabidhi Rehema Mnyima kadi ya uanachama wa chama hicho, ambapo zaidi ya wanachama wapya 300 walijiunga na cham hicho katika jmbo hilo la Kwera.
Wana CCM, wakila kiapo cha utii katika mkutano wa hadhara katika Kata ya Ilemba.
Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Kata ya Ilemba.
Wananchi wakiwa katika mkutano huo wa Kinana.
Kinana akizungumza na wanachi wa Kijiji cha Ilango waliouzuia msafara wake na kumtandikia khanga atembee juu yake. Kinana alikuwa anatokea Kata ya Ilemba kwenda Sumbawanga Mjini.
Wananchi wakimsikiliza kwa makini Katibu Muu wa CCM, Kinana aliposimama kwa muda katika Kijiji cha Milepa alichozaliwa Mbunge wa Jimbo la Kwera, Ignus Malocha, Smbawanga Vijijini.
Gari nlililobeba Kinana likiondoka eneo la Milepa kuelekea Sumbawanga Mjini.
Wananchi wakimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu wa CCM, Kinana aliposimama kwa muda uzungumza nao katika Kijiji cha Mtowisa jimboni Kwea.
Wasanii wakitumbiza kwa ngoma ya asili kwakati Kinana alipowasili katika Kata ya Muze ambapo alizindua ujenzi wa Kituo cha Afya cha Muze, jimboni humo.
No comments:
Post a Comment