TANGAZO


Saturday, April 5, 2014

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahaman Kinana amaliza ziara yake mkoani Rukwa kwa kuhutubia mamia ya wananchi mjini Sumbawanga baada ya kukagua mradi wa maji safi na taka mjini humo


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, akihutubia mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo, Aprili 5, 2014, katika bustani ya Uwanja wa Nelson Mandela, mjini Sumbawanga, mwishoni mwa ziara yake mkoani Rukwa.
Mkurugenzi wa Maji safi na Maji taka Sumbawanga (SUWASA), mkoani Rukwa, Antipas Shirima  (kulia), akimpatia maelezo Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kuhusu ujenzi wa tanki la lita milioni moja la majisafi linalojengwa katika mradi wa SUWASA, unaotarajiwa kumalizika Machi 7, mwakani (2015). Kinana yupo mjini Sumbawanga akiwa katika ziara ya siku sita mkoani Rukwa.
Mkurugenzi wa Maji safi na Maji taka Sumbawanga (SUWASA), mkoani Rukwa, Antipas Shirima akimpatia maelezo Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kuhusu ujenzi wa tanki la lita milioni moja la maji safi linalojengwa katika mradi wa SUWASA, unaotarajiwa kumalizika Machi 7, mwakani (2015). Kinana yupo mjini Sumbawanga akiwa katika ziara ya siku sita mkoani Rukwa.
Mkurugenzi wa Maji safi na Maji taka Sumbawanga (SUWASA), mkoani Rukwa, Antipas Shirima akimpatia maelezo Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kuhusu ujenzi wa bwawa la maji taka linalojengwa katika mradi wa SUWASA, unaotarajiwa kumalizika Machi 7, mwakani (2015). Kinana yupo mjini Sumbawanga akiwa katika ziara ya siku sita mkoani Rukwa.
Kinana akioneshwa mtandao wa huduma za usambazaji maji Sumbawanga utakavyokuwa. Anayempa maelezo ni Ngainayo Colman wa SUWASA. (Picha zote kwa hisani ya Bashir Nkoromo wa theNkoromo Blog)

No comments:

Post a Comment