TANGAZO


Monday, March 31, 2014

SSRA, CHODAWU waadhimisha Siku ya Ukombozi wa Wanawake duniani jijini Dar es Salaam


Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Angela Kairuki (kulia), akiimba wimbo wa mshikamano na wafanyakazi wa Chama cha Wafanyakazi wa Hifadhi, Mahotelini, Majumbani, Huduma za Jamii na Ushauri CHODAWU Dar es Salaam juzi, wakati wa siku ya Ukombozi wa Wanawake katika hafla iliyoandaliwa na CHODAWU na Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta  Hifadhi ya Jamii SSRA. (Picha zote na Mpigapicha Wetu)
Baadhi  ya wanachama wa chama cha Wafanyakazi wa Hifadhi, Mahotelini, Majumbani, Huduma za Jamii na Ushauri (CHODAWU), wakiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa SSRA na Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Angela Kairuki (wa pili kulia), wakati wa maadhimisho ya Siku ya Ukombozi wa Wanawake katika hafla iliyoandaliwa na CHODAWU na Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta  Hifadhi ya Jamii (SSRA), Dar es Salaam juzi.
Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Peter Mbelwa, akizungumza na wanawake, wakati wa Siku ya Ukombozi wa Mwanamke na Wafanyakazi wa Chama cha Wafanyakazi wa Hifadhi, Mahotelini, Majumbani, Huduma za Jamii na Ushauri (CHODAWU), wakati wa maadhimisho ya Siku ya Ukombozi wa Wanawake katika hafla iliyoandaliwa na CHODAWU na Mamlaka ya  Usimamizi na Udhibiti wa Sekta  Hifadhi ya Jamii (SSRA), Dar es Salaam juzi.
Baadhi  ya wanachama wa Chama cha Wafanyakazi wa Hifadhi, Mahotelini, Majumbani, Huduma za Jamii na Ushauri (CHODAWU), wakiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa SSRA na Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Angela Kairuki, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Ukombozi wa Wanawake, iliyoandaliwa na CHODAWU na Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta  Hifadhi ya Jamii (SSRA), Dar es Salaam juzi. 
Wanachama wa CHODAWU, wakiwa katika hafla yao wakati wa siku ya Ukombozi wa Mwanamke na Wafanyakazi wa Chama cha Wafanyakazi wa Hifadhi, Mahotelini, Majumbani, Huduma za Jamii na Ushauri (CHODAWU), wakati wa maadhimisho ya Siku ya Ukombozi wa Wanawake katika  hafla iliyoandaliwa na CHODAWU na Mamlaka ya  Usimamizi na Udhibiti wa Sekta  Hifadhi ya Jamii (SSRA), Dar es Salaam juzi. 

1 comment:

  1. Naomba kujua makao makuu ya chodawu Dar es Salam
    augustinoyohana7@gmail.com

    ReplyDelete