TANGAZO

Friday, November 1, 2013

Yanga yaipiga JKT Ruvu FC mabao 4-0 Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao la 3 lililofungwa na Oscar Joshua dhidi ya JKT Ruvu FC wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, ulochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao la 3 lililofungwa na Oscar Joshua dhidi ya JKT Ruvu FC wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao hilo, lililofungwa na Oscar Joshua dhidi ya JKT Ruvu FC wakati wa mchezo wa huo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Mmoja wa wachezaji wa JKT Ruvu akinyooshwa misuli na wachezaji wa Yanga, wakati wa mchezo wao huo.
Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo kati ya timu yao hiyo na JKT Ruvu FC, uliopigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Simon Msuva wa Yanga, akikimbilia mpira na Kessy Mapande wa JKT Ruvu.
Omar Mtaki wa JKT Ruvu FC akipambana na Simon Msuva wa Yanga wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, ulochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Jerryson Tegete  wa Yanga, akiwania mpira na Nashon Naftali wa JKT Ruvu.
 Hamis Kiiza wa yanga, akiwania mpira na Mussa Zuberi (katikati) na Amos Mgisa wote wa JKT Ruvu FC, wakati wa mchezo huo.

Jerryson Tegete  wa Yanga, akiwania mpira na Nashon Naftali wa JKT Ruvu.
Jerryson Tegeta na wachezaji wenzake, wakifurahia bao la 4 katika mchezo huo, aliloifungia timu yake ya Yanga dhidi ya  JKT Ruvu FC, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Jerryson Tegeta na wachezaji wenzake, wakifurahia bao la 4 katika mchezo huo, aliloifungia timu yake ya Yanga dhidi ya  JKT Ruvu FC, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Jerryson Tegeta (katikati) na wachezaji wenzake, wakifurahia bao la 4 katika mchezo huo, aliloifungia timu yake ya Yanga dhidi ya  JKT Ruvu FC, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Jerryson Tegeta (kulia) na wachezaji wenzake, wakifurahia bao la 4 katika mchezo huo, aliloifungia timu yake ya Yanga dhidi ya  JKT Ruvu FC, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. 

Jerryson Tegeta (kulia) na wachezaji wenzake, wakifurahia bao hilo, aliloifungia timu yake ya Yanga dhidi ya  JKT Ruvu FC, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Jerryson Tegeta (kushoto) na wachezaji wenzake, wakifurahia bao la 4, aliloifungia timu yake ya Yanga dhidi ya  JKT Ruvu FC, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Mrisho Ngassa (kushoto), Jerryson Tegeta (katikati) na Simon Msuva, wakifurahia bao la 4, liloifungwa na Tegetea, katika mchezo kati ya timu yake ya Yanga dhidi ya  JKT Ruvu FC, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Mrisho Ngassa wa Yanga, akimtoka Nashon Naftali wakati wa mchezo huo, Uwanja wa Taifa leo.
Hamis Kiiza akiudhibiti mpira huku akifuatwa na Mussa Zuberi wa JKT Ruvu FC, wakati wa mchezo huo.

No comments:

Post a Comment