TANGAZO

Friday, November 1, 2013

Uchaguzi Mkuu wa CUF, wanachama wahimizwa kugombea uongozi ngazi mbalimbali

Mkurugenzi wa Mipango, Uchaguzi na Bunge wa Chama cha Wananchi (CUF), Shaweji Mketo, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu kuwataka wanachama wa chama hicho kuchukua fomu za kuwania uongozi katika uchaguzi mkuu wa chama hicho, utakaofanyika kuanzia leo hadi Juni 31, 2014. Kulia ni Ofisa Uchaguzi wa CUF, Abdulrahman Lugane.

Mkurugenzi wa Mipango, Uchaguzi na Bunge wa Chama cha Wananchi (CUF), Shaweji Mketo, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu kuwataka wanachama wa chama hicho kuchukua fomu za kuwania uongozi katika uchaguzi mkuu wa chama hicho, utakaofanyika kuanzia leo hadi Juni 31, 2014. Kushoto ni Ofisa Utawala wa CUF, Twaha Rashid.
Mkurugenzi wa Mipango, Uchaguzi na Bunge wa Chama cha Wananchi (CUF), Shaweji Mketo, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu kuwataka wanachama wa chama hicho kuchukua fomu za kuwania uongozi katika uchaguzi mkuu wa chama hicho, utakaofanyika kuanzia leo hadi Juni 31, 2014. Kushoto ni Ofisa Utawala wa CUF, Twaha Rashid na kulia ni Ofisa Uchaguzi wa chama hicho, Abdulrahman Lugane.
Mkurugenzi wa Mipango, Uchaguzi na Bunge wa Chama cha Wananchi (CUF), Shaweji Mketo, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu kuwataka wanachama wa chama hicho kuchukua fomu za kuwania uongozi katika uchaguzi mkuu wa chama hicho, utakaofanyika kuanzia leo hadi Juni 31, 2014. Kushoto ni Ofisa Utawala wa CUF, Twaha Rashid.
Mkurugenzi wa Mipango, Uchaguzi na Bunge wa Chama cha Wananchi (CUF), Shaweji Mketo, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu kuwataka wanachama wa chama hicho kuchukua fomu za kuwania uongozi katika uchaguzi mkuu wa chama hicho, utakaofanyika kuanzia leo hadi Juni 31, 2014. Kushoto ni Ofisa Utawala wa CUF, Twaha Rashid.
Mkurugenzi wa Mipango, Uchaguzi na Bunge wa Chama cha Wananchi (CUF), Shaweji Mketo, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu kuwataka wanachama wa chama hicho kuchukua fomu za kuwania uongozi katika uchaguzi mkuu wa chama hicho, utakaofanyika kuanzia leo hadi Juni 31, 2014. Kushoto ni Ofisa Utawala wa CUF, Twaha Rashid.

Na Nyendo Mohamed
CHAMA cha Wananchi(CUF), kimawataka wananchi wake kuchukua fomu za kuwania nafasi mbalimbali za uongozi, kuanzia ngazi ya tawi mpaka Taifa.

Uchaguzi Mkuu wa Chama hicho, utaanza kufanyika kuanzia Novemba Mosi mwaka huu hadi Juni 31 mwaka 2014 katika ngazi ya Tawi, Kata, Wilaya na Taifa.

Akizungumza na wanahabari, Dar es Salaam leo, Mkurugenzi wa Mipango, Uchaguzi na Bunge, Shaweji Mketo alisema kuwa moja kati ya sifa za mgombea awe anakifahamu chama hicho vyema pamoja na kuwa mwanachama wa CUF.

Alisema pia kuwa chama cha wananchi CUF, hakina mwenyewe, hivyo kila mtu ambaye anafahamu kuwa anazo sifa na weledi katika chama hicho, anaweza kugombea nafasi yoyote.

''Kutangaza kugombea tena Katibu Mkuu wa chama hichi, Maalim Seif Shariff Hamad, inaonesha ni kiasi gani ana nia ya njema ya kuendeleza chama, lakini bado mtu yoyote ambaye anajua kuwa kiongoza na kutetea chama hicho, aje achukue fomu na kugombea kwasababu hiki chama ni cha kila mtu'', alisema Mketo.

Mketo alisema kuwa wanahitaji viongozi wapya ambao wenye uwezo wa kusimamia na kutetea chama lakini viongozi watakao tetea maslahi ya wananchi pia.

Aliongeza kuwa cha CUF ni chama ambacho kinapigania maslahi ya kila mwananchi hivo wanahitaji viongozi imara ili kuwa na chama imara na chenye timu kubwa ya uongozi wa Kitaifa.

Mbali na hayo aliwataka wananchi kujitokeza ili kuchukua fomu hizo mapema kwajili ya uchanguzi wa chama hicho mwaka 2014.

No comments:

Post a Comment