*Maelfu wajitokeza kuwalaki viongozi na kwenye mikutano
*Wambeba Nape Nnauye mkutanoni
Wananchi wakiwa wamembeba Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakati wa mkutano mkubwa wa hadhara uliohudhuria na maelfu ya wananchi katika uwanja wa shule ya msingi Mwaka mjini Tunduma wilayani Momba mkoani Mbeya leo.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, 'akitoa dozi' alipohutubia katika mkubwa wa hadhara uliohudhuria na maelfu ya wananchi katika uwanja wa shule ya msingi Mwaka mjini Tunduma wilayani Momba mkoani Mbeya leo.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akitoa 'dozi' katika mkutano mkubwa wa hadhara uliohudhuria na maelfu ya wananchi katika uwanja wa shule ya msingi Mwaka mjini Tunduma wilayani Momba mkoani Mbeya leo.
Dk. Asha-Rose Migiro akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano uliofanyika Uanja wa shule ya Mwaka, Tunduma leo.
Katibu wa NEC, Siasa na Uhisiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro (katikati mwenye miwani) akiselebuka na wananchi kwenye mkutano, Uwanja wa shule ya Mwaka, Tunduma leo. (Imetayarishwa na theNkoromo Blog)
No comments:
Post a Comment