TANGAZO


Sunday, November 3, 2013

Carren Mngoja wa IPP Media amfanyia sherehe ya Kipaimara binti yake, Elizabeth Thomas


Carrenflora Mgonja wa kundi la wajasiliamali wa kikundi cha Habari Group akiwa na mumewe Patson Mlandali wakati wa kumfanyia part ya kipaimara bint yao Elizabet iliyofanyika katika ukumbi wa Abiola Buza Dar es salaam jana


Washereheshaji wa shughuli hiyo Anti Latifa kushoto na Sakina Lioka wakiwa na CArren Mgonja wakati wa sherehe ya mwanae


Binti wa Carren, Elizabeth, akiwa katika hafla hiyo.


Baadhi ya wafanyakazi wenziwe, Carren wakiwa katika hafla hiyo.


Wazazi wa Elizabeth, Carren na Thomas, wakiurudi muziki katika hafla hiyo.


Wazazi wa Elizabeth, Carren na Thomas, wakiwakaribisha wageni waliohudhuria katika hafla hiyo.



Carrenflora Mgonja akizungumza katika hafla hiyo. (Picha zote na Super D, Mnyamwezi)

No comments:

Post a Comment