Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina
Nkurlu (kushoto) akiwasiliana na mmoja wa washindi kati ya(60)waliojishindia
Bodaboda na(24)wamejishindia fedha taslimu katika Promosheni ya “Timka na
BodaBoda” ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.katikati ni Afisa
huduma za ziada wa kampuni hiyo Rashid Maggid na kulia ni Msimamizi wa bodi ya
michezo ya kubahatisha Bakari Abdallah.
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kushoto)akiongea na
waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa kuchesha droo ya Promosheni
ya ”Timka na BodaBoda” Jumla ya washindi(60)waliojishindia Bodaboda
na (24) wamejinyakulia fedha taslimu katika Promosheni hiyo.Ili kujiunga na
Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda
15544. Katikati ni Ofisa huduma za ziada wa kampuni hiyo Rashid Maggid na
kulia ni Msimamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha Bakari Abdallah.
Mshindi wa Promosheni ya ”Timka na Bodaboda” Ernest Thawe,ambaye ni mfanyakazi
wa Msimbazi Center kitengo cha ufundi wa bomba,akiesabu kitita chake cha
shilingi 1,000,000 mara baada ya kuzitoa kwa njia ya M-PESA na kukabidhiwa na
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu (kushoto) na katikati ni
Ofisa huduma za ziada wa kampuni hiyo Rashid Maggid. Jumla ya
washindi(60)wameshinda Bodaboda na (24) wamejinyakulia fedha taslimu katika
Promosheni hiyo.Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.
Mshindi wa Promosheni ya ”Timka na Bodaboda” Ernest Thawe,ambaye ni mfanyakazi
wa Msimbazi Center kitengo cha ufundi wa bomba (kulia) pamoja na Meneja Uhusiano
wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu, wakiwaonesha ujumbe wa M-PESA wa
shilingi 1,000,000 kwa waandishi wa habari aliotumiwa baada ya kujishindia
kupitia promosheni hiyo toka makao makuu ya Vodacom. Jumla ya
washindi(60)wameshinda Bodaboda na (24) wamejinyakulia fedha taslimu katika
Promosheni hiyo. Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.
Mkazi wa Ubungo jijini Dar es Salaam Paul Muro ambaye ni mmoja kati ya
washindi (24) waliojishindia fedha taslimu kiasi cha shilingi 1,000,000 kila mmoja
katika Promosheni ya ”Timka na Bodaboda” inayoendeshwa na Vodacom
Tanzania, akihesabu kitita chake huku akiwa na bashasha baada ya kujishindia
kiasi hicho huku akishuhudiwa na Meneja Uhusiano wa Umma wa kampuni
hiyo, Matina Nkurlu.
No comments:
Post a Comment