TANGAZO

Thursday, October 31, 2013

Simba, Kagera nguvu sawa, mabomu yapigwa kutuliza hasira za mashabiki

Mashabiki wa Simba, wakifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom kati ya timu yao hiyo na Kagera Sugar, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Timu hizo zimetoka sare kwa kufungana bao 1-1. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Said Ndemla wa Simba, akichuana na Salum Kanoni wa Kagera Sugar katika mchezo huo leo, Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Malegesi Mwangwa wa Kagera Sugar, akimtoka Amis Tambwe wa Simba katika mchezo huo.
Amis Tambwe wa Simba akimtoka Malegesi Mwangwa wa Kagera Sugar.
Amis Tambwe wa Simba akiudhibiti mpira huku akizongwa na Ernest Mwalupani wa Kagera Sugar wakati timu hizo zilipopambana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo
Isaa Rashid wa Simba akiudhibiti mpira huku akifuatwa na Ernest Mwalupani wa Kagera Sugar.
Amis Tambwe wa Simba akimtoka Malegesi Mwangwa wa Kagera Sugar.
 Amis Tambwe wa Simba akiruka kwanja la Malegesi Mwangwa wa Kagera Sugar.
Wachezaji wa Simba wakishangilia bao la timu hiyo, lililofungwa na Amis Tambwe dhidi ya Kagera Sugar.
Wachezaji wa Simba wakimpongeza Amis Tambwe baada ya kuifungia timu yake hiyo bao dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo, waati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom.
Wachezaji wa Simba wakimpongeza Amis Tambwe baada ya kuifungia timu yake hiyo bao dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo, waati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom.
Wachezaji wa Simba wakipongezana mara baada ya Amis Tambwe kuuweka mpira wavuni kuiandikia bao la kwanza timu yake hiyo.
 Wachezaji wa Simba wakipongezana mara baada ya Amis Tambwe kuuweka mpira wavuni kuiandikia bao la kwanza timu yake hiyo.
Malegesi Mwangwa wa Kagera Sugar, akimtoka Amis Tambwe wa Simba.
Malegesi Mwangwa wa Kagera Sugar, akipambana na Amis Tambwe wa Simba.
Ramadhan Singano 'Messi' wa Simba, akijaribu kumpiga chenga Malegesi Mwangwa wa Kagera Sugar.
Ramadhan Singano 'Messi' wa Simba, akimpiga chenga Malegesi Mwangwa wa Kagera Sugar.
Betram Mombeki wa Simba akichuana kuuwania mpira na Malegesi Mwangwa wa Kagera Sugar.
Betram Mombeki wa Simba akichuana kuuwania mpira na Malegesi Mwangwa wa Kagera Sugar.
Betram Mombeki wa Simba akichuana kuuwania mpira na Malegesi Mwangwa wa Kagera Sugar.
Mwamuzi akiwaeleza jambo wachezaji wa Kagera Sugar, wakati wa mchezo huo.
Amis Tambwe akiwania mpira na Martin Muganyizi wa Kagera Sugar.
Amis Tambwe wa Simba na Martin Muganyizi wa Kagera Sugar wakipambana kuuwania mpira huo. 
Amis Tambwe wa Simba na Martin Muganyizi wa Kagera Sugar wakiwania mpira huo.
 Martin Muganyizi wa Kagera Sugar akimkwatua Amis Tambwe wa Simba.
Said Ndemla wa Simba, akimtoka Martin Muganyizi wa Kagera Sugar.
Betram Mombeki wa Simba akichuana kuuwania mpira na Malegesi Mwangwa wa Kagera Sugar.
 etram Mombeki wa Simba akichuana kuuwania mpira na Malegesi Mwangwa wa Kagera Sugar.
Wachezaji wa Simba waliokuwepo benchi wakionekana kuhuzunishwa na goli la penalti waliyopewa Kagera Sugar na mwamuzi wa mchezo huo, Mohammed Theofile wa Morogoro.
Wachezaji wa Simba waliokuwepo benchi wakionekana kuhuzunishwa sana na goli hilo la penalti.
Mashabiki wa timu ya soka ya Simba, waking'oa viti vya Uwanja wa Taifa, Dar es  Salaam leo mara baada ya mwamuzi wa mchezo kati ya timu hiyo na Kagera Sugar, kutoa penalti kwa timu ya Kagera iliyowapatia sare ya bao 1-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa uwanjani hapo.
 
Mmoja wa shabiki wa Simba, akisombwa kupelekwa kwenye karandinga la Polisi baada ya kunaswa katika vurugu zilizotokea uwanjani hapo mara baada ya kufungwa kwa bao hilo la penalti la Kagera Sugar.

No comments:

Post a Comment