TANGAZO

Thursday, October 31, 2013

Fainali za Pool Table mkoani Dar es Salaam kufanyika Hoteli ya Picolo Beach Club, Novemba 7 hadi 8

Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kuandaa matukio mbalimbali ya michezo ya Six Club Promoter, Hashim Shaweji, akionesha moja ya kombe la mshindi wa mashindano ya fainali ya mchezo wa Pool ya Best Single Pool Player (BSPP 2013) mkoani Dar es Salaam, yatakayofanyika Hoteli ya Picolo Beach Club jijini kuanzia Novemba 7 hadi 8. Kushoto ni Ofisa Masoko na Ubunifu wa kampuni hiyo, Edwin Maraba na kulia ni Mjumbe, Juma Nassor. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kuandaa matukio mbalimbali ya michezo ya Six Club Promoter, Hashim Shaweji, akionesha moja ya zawadi ya washindi wa mashindano ya fainali ya mchezo wa Pool ya Best Single Pool Player (BSPP 2013) mkoani Dar es Salaam, yatakayofanyika Hoteli ya Picolo Beach Club jijini kuanzia Novemba 7 hadi 8. Kushoto ni Ofisa Masoko na Ubunifu wa kampuni hiyo, Edwin Maraba na kulia ni Mjumbe, Juma Nassor.
Ofisa Masoko na Ubunifu wa kampuni hiyo, Edwin Maraba, akizungumza na waandishi wa habari katika mkutanowa kutambulisha Kampuni hiyo na pia kutangaza fainali za Dar es Salaam, zitakazofanyika Hoteli ya Picolo Beach Club jijini Dar es Salaam, kuanzia Novemba 7 hadi 8. Katikati ni Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Six Club Promoters, waandaaji wa mashindano hayo, Hashim Shaweji na kulia ni Mjumbe, Juma Nassor.
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Six Club Promoters, waandaaji wa mashindano hayo, Hashim Shaweji akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mashindano hao leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Ofisa Masoko na Ubunifu wa kampuni hiyo, Edwin Maraba na kulia ni Mjumbe, Juma Nassor. 
Uongozi wa Kampuni ya Six Club Promoters, ukiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuitambulisha kampuni hiyo na pia kutangaza mashindano ya fainali ya mchezo wa Pool mkoani Dar es Salaam leo.
Uongozi wa Kampuni ya Six Club Promoters, ukiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuitambulisha kampuni hiyo na pia kutangaza mashindano ya fainali ya mchezo wa Pool mkoani Dar es Salaam leo.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo na uongozi wa Kampuni ya Six Club Promoters, Dar es Salaam leo.
Uongozi wa Kampuni ya Six Club Promoters, ukiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuitambulisha kampuni hiyo na pia kutangaza mashindano ya fainali ya mchezo wa Pool mkoani Dar es Salaam leo.
Uongozi wa Kampuni ya Six Club Promoters, ukiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuitambulisha kampuni hiyo na pia kutangaza mashindano ya fainali ya mchezo wa Pool mkoani Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment