Mama mwenye picha hii, ambaye maelezo yake yapo hapo chini, amepotea, ukimuona toa taarifa kituo chochote cha Polisi pia tupigie kwa namba za simu zilizopo hapo chini kwenye maelezo yake. Ahsante.
Mama Yustina Phillip Temba mwenye tatizo la
kupoteza kumbukumbu amepotea toka siku ya Jumapili, Tarehe 04/08.2013 muda wa asubuhi.
Mara ya
mwisho aliaga kuwa anaenda kanisani Mtoni Mtongani, Parokia ya Josephine Bakita.
Toka wakati
huo hajaonekana nyumbani, anaishi nyumba Na. KZM/KSM/191 Tandika Azimio,
maarufu Kwa Babu Mchagga.
Tafadhali
kwa atakayemuona au kuwa na taarifa zake awasiliane kwa namba za simu
zifuatazo:
1.
0655436549 Bw. Jov. Temba
2.
0755436549 Bw. Jov. Temba
3.
0754854301 Bw. John Temba
Tunashukuru kwa ushirikiano wako mdau
wa Globu ya Jamii
No comments:
Post a Comment