Beki wa Mtibwa Sugar, Salvatory Ntebe akichuana na mshambuliaji wa Yanga wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Yanga imeshinda 3-1. (Picha zote na Habari Mseto Blog)
Beki wa Mtibwa Sugar, Ally Lundega akimiliki mpira huku akizongwa na mshambuliaji wa Yanga, Haruna Niyonzima wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa Yanga, Haruna Niyonzima akimtoka beki wa Mtibwa Sugar, Hassan Ramadhan wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Kikosi cha Mtgibwa Sugar.
Kikosi cha Yanga.
Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mtanange huo.
No comments:
Post a Comment