Mtafiti Mwandamizi na Mkuu wa Idara ya Utafiti na Uendelezaji wa Tiba Asili kutoka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Dk. Hamisi Malebo (kushoto), akifafanua kwa waandishi wa habari kuhusu Uendelezaji wa Tiba Asilia kwa Ajili ya Matumizi ya Binadamu katikati ni Mkurugenzi wa Kuratibu na Kukuza Utafiti kutoka Taasisi hiyo Dk. Julius Massaga na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari, Zamaradi Kawawa.
Mtafiti Mwandamizi na Mkuu wa Idara ya Utafiti na Uendelezaji wa Tiba Asili kutoka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu(NIMR), Dk. Hamisi Malebo akiwaonesha waandishi wa habari(hawapo pichani) dawa ya inayotafitiwa na taasisi hiyo kwa ajili ya kutibu ugonjwa wa UKIMWI iliyochakatwa kutoka ungaunga na kuhifadhiwa kwa kisasa.
(Picha zote na Hassan Silayo-MAELEZO)
No comments:
Post a Comment