TANGAZO


Thursday, January 31, 2013

Kata ya Kipawa yazindua Awamu ya Pili ya Mradi wa Mazingira Bora kwa Elimu Bora

 

Diwani wa Kata ya Kipawa Bonnah Kaluwa akitoa neno
fupi katika hafla ya uzinduzi wa mradi huo.
Ofisa Utamaduni Msaidizi katika Ubalozi wa Marekani,
Shamsa Suleiman, akitoa neno fupi katika uzinduzi huo.
Marekani imeonesha nia ya kufadhili mradi huo.

Mwenyekiti wa Kamati ya Shule ya Msingi Minazi Mirefu,
Daniel Mwamasika, akiwasalimia wananchi na wageni
waalikwa waliofika katika uzinduzi huo.
Diwani ya Kata hiyo Bonnah Kaluwa, akiwasili katika
uzinduzi huo uliofanyika leo. Kutoka kushoto ni Ofisa
Utamaduni Msaidizi katika Ubalozi wa Marekani,
Shamsa Suleiman na Ofisa Mtendaji wa Kata hiyo
Said Fundi

Diwani wa Kata ya Kipawa Bonnah Kaluwa (katikati), akizungumza na wananchi wa kata hiyo wakati wa
hafla ya uzinduzi wa awamu ya pili ya mradi wa Mazingira
Bora kwa Elimu Bora. Hafla hiyo ilifanyika Shule ya
Msingi Minazi Mirefu Ukonga Dar es Salaam leo.
Mradi huo unafadhiliwa na nchi ya Marekani. Kushoto
ni Ofisa Utamaduni Msaidizi katika Ubalozi wa
Marekani, Shamsa Suleiman na Kushoto kwa Diwani
huyo ni Mwenyekiti wa Kamati ya Shule ya Msingi Minazi
Mirefu, Daniel Mwamasika.


Ofisa Utamaduni Msaidizi katika Ubalozi wa Marekani,
Shamsa Suleiman, akifuatilia tukio hilo kwa makini.



Wananchi wa Kata hiyo wakiwa kwenye uzinduzi huo.


No comments:

Post a Comment