Wachezaji wa timu ya Taifa, Taifa Stars wakiwa katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya kuwasili wakitokea Gaborone Botswana ambako walicheza mechi ya kirafiki na The Zebras. Mechi hiyomalizika kwa sare ya mabao 3-3.
Mrisho Ngassa akiwasili uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, akitokea Botswana na timu ya Taifa, iliyokwenda huko kwa mchezo wa kirafiki juzi.
No comments:
Post a Comment