Kiongozi wa wacheza shoo wa Bendi ya Extra Bongo, Super Nyamwela, akigawa futari kwa watoto wa New Life Orphans Home jana jijini Dar es Salaam.
Kiongozi wa Bendi ya Extra Bongo, Rogert Hegga 'Carterpillar,' akigawa futari kwa watoto wa New Life Orphans Home.
Baadhi ya watoto wa kituo hicho wakifuturu katika futari iliyoandaliwa na bendi ya Extra Bongo.
Rais wa Bendi ya Extra Bongo, Ali Choki akifuturu pamoja na watoto wa kituo hicho.
Maseneta wa Extra Bongo wakipata futari wakati bendi yao, ilipofuturisha watoto yatima.
No comments:
Post a Comment