TANGAZO


Friday, August 17, 2012

Rais Kikwete akiwa katika shughuli mbalimbali jijini Dar es Salaam

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akipokea hati za utambulisho toka kwa balozi mpya wa India hapa nchini, Debnath Shaw, Ikulu jijini Dar es Salaam jana. (Picha zote na Ikulu)

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiongea na balozi mpya wa India hapa nchini, Debnath Shaw baada ya kupokea hati zake za utambulisho, Ikulu jijini Dar es Salaam jana.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akipokea hati za utambulisho toka kwa balozi mpya wa Spain hapa nchini, Luis Manuel Cuesta Civis, jijini Dar es Salaam jana.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiongea na balozi mpya wa Spain hapa nchini, Luis Manuel Cuesta Civis baada ya kupokea hati zake za utambulisho.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiongea na Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilali aliyemsindikiza uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam jana, muda mfupi kabla ya kuondoka kuekelea Msumbiji kuhudhuria mkutano wa SADC jijini Maputo.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiongea na Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema katika Uwanja wa Ndege wa , Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam, muda mfupi kabla ya kuondoka kuekelea Msumbiji kuhudhuria mkutano wa SADC jijini Maputo.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishukuru baada ya kushiriki katika futari aliyoandaliwa na wananchi wa Tanga juzi.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akishiriki katika swala ya Magharibi kabla ya kushiriki katika futari aliyoandaliwa na wananchi wa Tanga juzi. 
Waumini wa dini ya Kiislamu wa jiji la Tanga, wakiomba dua wakati wa hafla ya chakula cha futari walichomuandalia Rais Jakaya Kikwete juzi.

No comments:

Post a Comment