Rais Jakaya Mrisho Kikwete akibonyeza kitufe ili kuzindua Awamu ya Tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii nchini (TASAFAIII), Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akihutubia mamia ya wananchi wakati akizindua Awamu ya Tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii nchini (TASAFA-III), Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akielekea katika kukagua mabanda ya maonesho, wakati wa uzinduzi wa Awamu ya Tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii nchini (TASAFA-III), Uwanja wa Jamhuri, mjini Dodoma leo, Agosti 15, 2012. Pamoja naye ni Spika wa Bunge, Anne Makinda, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Uratibu na Mahusiano), Steven Wassira. (Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment