TANGAZO


Wednesday, August 15, 2012

Kampuni ya Sumsung kusaidia Monduli milioni 144


Mwenyekiti wa kijiji cha Emairete, Moran Poyoni akimkabidhi zawadi ya fimbo maalumu mgeni rasmi, Makamu wa Rais wa Samsung, Choi Woo-Soo, wakati wa hafla ya kukabidhi madarasa kwa shule ya Irmorijo yaliyokarabatiwa na Kampuni ya Samsung na kutangaza msaada mwingine wa milioni 144 kwa shule hiyo na Sekondari ya Winning Sprit Monduli Arusha.

Wamasai wa kijiji cha Emairete, wilayani Monduli Arusha, wakimpokea mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Samsung, Choi Woo-Soo aliyeambatana na Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Joika Kasunga wakati wa kuwasili katika Shule ya Msingi ya Irmorijo katika hafla ya kukabidhi madarasa yaliyokarabatiwa na Kampuni ya Samsung na pia kutangaza kutoa msaada wa milioni 144, sawa na dola za Kimarekani 90,000 kwa ajili ya kusaidia shule ya Msingi ya Irmorijo na Sekondari ya Winning Spirit za wilani Monduli Arusha.

Wakiwasili wakimpokea mgeni wao, Makamu wa Rais wa Kampuni ya Sumsung, Choi Woo-Soo, aliwasili kijijini hapo kwa ajili ya kukabidhi madarasa yaliyokarabatiwa na kampuni hiyo.

Makamu wa Rais wa Kampuni ya Sumsung, Choi Woo-Soo, akiwasili katika Shule ya Msingi Irmorijo Monduli jana.

Makamu wa Rais wa Samsung, Choi Woo-Soo(katikati), Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Joika
Kasunga na Diwani wa Kata ya Monduli juu, Bariki Sumuni wakishangilia mara
 baada ya kukata utepe kwa pamoja kuashiria uzinduzi wa madarasa Shule ya Msingi ya Irmorijo Monduli Arusha, yaliyokarabatiwa na Kampuni ya Samsung ambapo Kampuni hiyo pia  ilitangaza kutoa msaada wa sh. milioni 144 kwa shule hiyo na Sekondari ya Winning Spirit.

Makamu wa Rais wa Samsung, Choi Woo-Soo(kushoto) akishikana mkono na kupongezwa na Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Joika Kasunga mara baada ya kuzindua jiwe la msingi lenye ujumbe “Onyesha upendo kwa Dunia pamoja na Samsung” katika Shule ya Msingi ya Irmorijo Monduli, Arusha ambapo Kampuni ya Samsung ilikabidhi madarasa baada ya kuyakarabati nakutangaza kutoa msaada wa sh. milioni 144 kwa shule hiyo na Sekondari ya Winning Spirit.

Makamu wa Rais wa Samsung, Choi Woo-Soo, akimkabidhi mpira mwanafunzi was Shule ya Msingi ya Irmorijo, Kizito Lepa (II), ili kuwasisitiza walimu na wazazi kuwaunga mkono watoto katika vipaji vyao, wakati wa  hafla ya kukabidhi majengo baada ya ukarabati uliofanywa na Kampuni hiyo, ambapo pia Kamuni hiyo ilitangaza kutoa msaada wa sh. milioni 144 kwa shule hiyo na Sekondari ya Winning Spirit.

Makamu wa Rais wa Samsung, Choi Woo-Soo akiwa katika vazi la Kimasai huku akionyesha
zawadi ya fimbo maalum aliyokabidhiwa wakati wa hafla ya kukabidhi madarasa kwa
 shule ya Msingi ya Irmorijo baada ya ukarabati uliofanywa na Kampuni ya Samsung na kutangaza msaada mwingine wa sh. milioni 144 kwa shule hiyo na Sekondari ya Winning Sprit Monduli Arusha.

Akina mama wa Kimasai wa Kijiji cha Emairete, wilayani Monduli, wakimpa zawadi Makamu wa Rais wa Samsung, Choi Woo-Soo, wakati wa hafla ya kukabidhi madarasa kwa shule ya Irmorijo baada ya ukarabati wa Kampuni ya Samsung na kutangaza msaada wa sh. milioni 144 kwa shule hiyo na Sekondari ya Winning Sprit Monduli Arusha.

Akina mama wa Kimasai wa kijiji cha Emairete, wilayani Monduli, wakicheza samabamba na akina kaka wa Kikorea wakati wa hafla ya kukabidhi madarasa kwa shule ya Irmorijo baada ya ukarabati uliofanywa na Kampuni ya Samsung na kutangaza msaada mwingine wa sh. milioni 144 kwa shule hiyo na Sekondari ya Winning Sprit Monduli Arusha.

Wananchi wa jamii ya Kimasai, wakiimba na kucheza wakati wa hafla ya kukabidhi madarasa kwa shule ya Irmorijo baada ya ukarabati uliofanywa na Kampuni ya Samsung na kutangaza msaada mwingine wa sh. milioni 144 kwa shule hiyo na Sekondari ya Winning Sprit Monduli Arusha.

Akina mama wa Kimasai wakicheza ngoma, wakati wa hafla ya kukabidhi madarasa kwa shule ya Msingi ya Irmorijo baada ya ukarabati uliofanywa na Kampuni ya Samsung na kutangaza msaada mwingine wa sh. milioni 144 kwa shule hiyo na Sekondari ya Winning Sprit Monduli Arusha jana.

Akina mama wa Kimasai wakiimba, wakati wa hafla ya kukabidhi madarasa kwa shule ya Msingi ya Irmorijo baada ya ukarabati uliofanywa na Kampuni ya Samsung na kutangaza msaada mwingine wa sh. milioni 144 kwa shule hiyo na Sekondari ya Winning Sprit Monduli Arusha jana.
Wakina Mama wa Kimasai wakiimba nyimbo mbalimbali wakati wa hafla hiyo.

Akina baba wa Kimasai wakiimba na kucheza ngoma katika hafla hiyo. (Picha zote na mdau wetu)

No comments:

Post a Comment