Wakazi wa Manispaa ya mji wa Dodoma, wakiwa katika foleni kusubiri kuingia katika Banda la Tume ya Mabadiliko ya Katiba wakati wa kilele cha Siku ya Wakulima, 'Nanenane' zilizofanyika hivi karibuni katika viwanja vya Nzunguni mjini humo.
Wakazi wa Manispaa ya mji wa Dodoma wakiwa katika foleni kusubiri kuingia katika Banda la Tume ya Mabadiliko ya Katiba wakati wa kilele cha siku ya Wakulima Nanenane zilizofanyika hivi karibuni katika viwanja vya Nzunguni mjini humo.
Katibu wa Jukwaa la Wahariri(TEF), Neville Meena akichangia hoja wakati wa mkutano wa kubadilisha na mawazo baina ya Uongozi wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba na Baraza la Habari Tanzania (MCT), pamoja na Jukwaa la Wahariri uliofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Warioba, Katibu waTume Assaa Rashid na Naibu Katibu Casmir Kyuki.
Joyce Kasambala (70), mkaziwa Mpwapwa mkoani Dodoma akisoma machapisho mbalimbali yanayotolewanaTume ya Mabadiliko ya Katiba wakati wa sherehe za Siku ya Wakulima Nanenane zilizofanyika hivi karibuni katika viwanja vya Nzunguni mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment