Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa CCM, alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui, Mjini Zanzibar, kushiriki katika kikao cha siku moja cha Kamati maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar, kilichofanyika leo, mjini humo. (Picha na Ramadhan Othman, Ikulu)
Wajumbe wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, wakiwa katika kikao cha siku moja chini ya Mwenyekiti wake, Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Amani Abeid Karume,wakiwa katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar, kilipofanyika kikao hicho leo.
No comments:
Post a Comment