Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akisalimiana kwa furaha na Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Morogoro Steven Mashishanga baada ya kuwasili kwenye futari hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.
Waalikwa wakiswali kabla ya kufuturu futari hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.
Kina Baba wakifuturu futari hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.
Mashishanga, Fikiri Juma wa mjini, Nape na wa Mkoa, Petro Kingu, wakifuturu, futari iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari Forest mjini Morogoro leo.
Kaimu Katibu wa CCM, Mkoa wa Morogoro, Sixtus Mapinda na Msaidizi wa Katibu NEC, Itikadi na Uenezi, Taifa, Okctavian wakifuturu, futari hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.
Babu akijisevia futari, wakati wa futru hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.
Mkuu wa Mkoa Morogoro, Joel Bendera akifuturu, futari hiyo, iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari Forest, mjini Morogoro leo.
Kina mama wakifuturu, futari hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari Forest mjini Morogoro.
Six akimkaribisha Nape jukwaani baada ya kufuturu, futari hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari Forest mjini Morogoro.
Nape akizungumza jukwaani, baada ya futari hiyo aliyoandaa kwa wananchi wa Morogoro, kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari Forest mjini Morogoro.
Sheikh Khamis Ali Mbilikila, akisoma dua baada ya futari hiyo iliyoandaliwa na Nape Nnauye kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari Forest mjini Morogoro.
Kinababa wakiomba dua
Kina mama wakiomba dua.
Kinababa wakiomba dua
Nape Nnuye, Joel Bendera na Kingu wakiwa wamesimama baada ya futari hiyo.
Nape akiwaaga waalikwa kwenye futari hiyo aliyoiandaa.
Nape Nnauye na mbunge wa zamani Simeindu Pawa, wakisalimiana baada ya futari hiyo, aliyoiandaa kwa wananchi wa Morogoro.
No comments:
Post a Comment