TANGAZO


Thursday, August 16, 2012

Benki ya Posta yafuturisha wateja wake jijini Dar es Salaam

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi,  akiwakaribisha wateja wa benki hiyo, kwenye hafla ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja wake. Hafla hiyo ilifanyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi Mtendaj wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi,  akizungumza na wateja wa benki hiyo, waliofika kwenye hafla ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili wateja wake. Hafla hiyo ilifanyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam jana. (Picha na mdau wetu)

No comments:

Post a Comment