Warembo watakaopambana katika kinyang'anyiro cha Redds Miss Ilala 2012, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mkutano na waandishi wa habari kwa ajili utambulisho jijini leo. (Picha na Intellectuals Communications Limited)
Mratibu wa Shindano la Redds Miss Ilala 2012, Gadner Habash, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kuwatambulisha warembo watakaoshiriki shindano la Redds Miss Ilala jijini Dar es Salaam leo.
Warembo watakaopambana katika kinyang'anyiro cha Redds Miss Ilala 2012, wakiwa katika picha ya pamoja kwenye mkutano na waandishi wa habari katika mkutano wa utambulisho jijini leo.
Mratibu wa Shindano la Redds Miss Ilala 2012, Gadner Habash (wa pili kushoto), akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Nyumbani Lounge, kuhusu kuwatambulisha warembo watakaoshiriki kwenye fainali ya Redds Miss Ilala na washindi watakaofanikiwa kuingia moja kwa moja kwenye fainali ya Redds Miss Tanzania. Kulia ni mmoja wa waratibu wa shindano hilo, Juma Mabakila. Cylivia Mashuda na Neema Mbula ambao ni walimu wa warembo hao. Jumla ya warembo kumi na tano watashiriki kwenye kinyang'anyiro hicho, kitakachofanyika 07/09/2012, ukumbi wa nyumbani lounge.
No comments:
Post a Comment