TANGAZO


Sunday, February 12, 2012

Yanga walipochuana na Ruvu Shooting, Uwanja wa Taifa

 Mchezaji Abraham Abraham wa Ruvu Shooting SC, akimtoka Haruna Niyozima wa Yanga, wakati timu hizo zilipopambana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, leo jioni. Yanga imeshinda bao 1-0. (Picha na Kassim Mbarouk)


  Mchezaji Abraham Abraham wa Ruvu Shooting SC, akimzuia Haruna Niyozima wa Yanga, wakati mchezo huo.


  Hamis Kiiza wa Yanga (kulia), akipambana na Michael Pius wa Ruvu Shooting SC, katika mchezo huo.


 Hamis Kiiza wa Yanga, akitafuta mbinu ya kumtoka Michael Pius wa Ruvu Shooting katika mchezo huo.


 Mashabiki wa timu ya Ruvu Shooting SC, wakishangilia timu yao katika mchezo huo.


 Mashabiki wa Yanga wakishangilia timu yao katika mchezo huo.


Kocha wa timu ya Simba, Milovan Cikovic, akifuatilia mchezo kati ya Ruvu Shooting SC na Yanga.

No comments:

Post a Comment