TANGAZO


Sunday, February 12, 2012

Rais Kikwete aongoza Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Mjini Dodoma

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akiwa meza kuu na Rais wa Zanzibar Dk Mohamed Ali Shein, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Visiwani) na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk. Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Pius Msekwa na Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama, kabla ya kuanza kwa mkutano wa Halmashauri Kuu leo, katika jengo la White House la Makao Makuu ya chama hicho mjini Dodoma leo February 12, 2012 . (Picha na Ikulu)
 
Baadhi ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, wakiwa kwenye mkutano huo.
 
 
Mjumbe wa mkutano huo, Asha Baraka, akisalimiana na Mzee Abdurahamn Kinana.
 
 Baadhi ya wajumbe wa mkutano huo, wakipiga makofi katika kuamsha hamasa ya mkutano huo. 

No comments:

Post a Comment