Wachezaji wa timu ya Zamalek ya Misri, wakifanya
mazoezi ya mwisho leo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, kabla ya kupambana na Yanga
katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. (Picha na Dotto Mwaibale)
Wachezaji wa Zamalek, wakifanya mazoezi ya kukimbia
Wachezaji wa Zamalek, wakiweka goli dogo kwa ajili ya kufanyia mazoezi yao, Uwanja wa Taifa, leo jioni kabla ya kesho kupambana na Yanga katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
No comments:
Post a Comment