Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dk. Mohammed Gharib Bilal,
akibonyeza
kitufye cha kuwashia mitambo ya umeme, ikiwa ni ishara ya uzindua rasmi mashine za kuzalishia umeme, wakati
alipotembelea mradi huo, wilayani Mbinga akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Ruvuma jana, Februari 16, 2012. Kushoto ni Mkurugenzi
Msaidizi wa Tanesco, Eng. Boniface Njombe. (Picha na Muhidin
Sufiani-OMR)
Makamu wa Rais,
Dk. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti wa kumbukumbu
baada ya kuzindua mashine za kuzalisha umeme Wilaya ya Mbinga,katika ziara hiyo.
Makamu wa Rais,
Dk. Mohammed Gharib Bilal, akipiga makofi, mara baada ya
kuweka jiwe la msingi katika mradi wa mashine za kuzalisha umeme, wilayani
Mbinga, wakati
akiwa katika ziara yake ya
Mkoa wa Ruvuma leo.
No comments:
Post a Comment