Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda, akifurahia jambo na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Hijra ya Mjini Dodoma nje ya ukumbi wa Bunge Dodoma, leo, walipofika Bungeni, kuangalia shughuli mbalimbali za Bunge. (Picha na Aron Msigwa – MAELEZO).
No comments:
Post a Comment