TANGAZO


Friday, February 10, 2012

Rais Kikwete akutana na Baraza la Mawaziri Dodoma

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mkuu wa Wilaya ya Bahi Bi. Betty Mkwasa mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Dodoma leo January 10, 2012. (Picha na Ikulu)



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha Kikao cha  Baraza la Mawaziri, ukumbi wa TAMISEMI mjini Dodoma leo. (Picha na Ikulu)

 

No comments:

Post a Comment