Mwanamitindo Francisca Shirma wa Franco designs, akitoa mawazo yake, wakati wa mkutano wa kwanza ya Waoneshajio wa mitindo ya Kiswahili (Swahili Fashion Week designers), Hoteli ya Hadees, Dar es Salaam leo. Kushoto ni Kemi Sadick wa Binti Africa 9th-feb-2012. (Picha kwa hisani ya Mustafa Hassanali)
Meneja Masoko wa Wiki ya maonesho ya mitindo ya Kiswahili 2012, Hamis Omary, akizungumza na waoneshaji mitindo hao. Kulia ni Mratibu onesho hilo, Gillian Rugumamu.
Mwandaaji wa onesho la Wiki ya mitindo ya Kiswahili, 2012, Mustafa Hassanali, akizungumza na wanamitindo katika mkutano huo. Kushoto ni Mtaribu Mradi wa onesho la Wiki ya Mitindo ya Kiswahili 2012, Gillian Rugumamu na Meneja Masoko, Hamis Omary.
No comments:
Post a Comment