TANGAZO


Friday, February 10, 2012

Villa Squard Watua Bungeni, Walakiwa na Spika Makinda

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda, akiwasalimia viongozi na wachezaji wa timu ya Villa Squard ya Kinondoni jijini Dar es salaam, waliofika Bungeni hapo leo Februari 10, 2012, kuona shughuli mbalimbali zinazofanywa na Bunge. (Picha na Aron Msigwa - Maelezo)

No comments:

Post a Comment