Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na Rais wa Botswana Luteni Jenerali Seretse Khama Ian Khama, Makamu wa Rais wa Afrika Kusini, Kgalema Nontlanthe na Marais wastaafu, Sir Ketumile Masire (kulia) na Festus Mogae (kushoto), wakiwa chini ya mti wa Marula ambako miaka 50, iliyopita ya Chama cha BDP, kilizaliwa.
Mgeni rasmi katika sherehe za miaka 50 ya chama tawala cha Botswana, Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na Rais wa Botswana Luteni Jenerali Seretse Khama Ian Khama, wakimshangilia Rais wa Zamani wa Botswana Sir Kitumile Masire, akifunua kitambaa kuweka bango la mahali ilipozaliwa BDP.
Mgeni rasmi, Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na Rais wa Botswana Luteni Jenerali Seretse Khama Ian Khama, Makamu wa Rais wa Afrika Kusini, Kgalema Nontlanthe na Rais mstaafu Festus Mogae (kushoto), wakimwangalia Rais wa zamani wa Botswana, Sir Kitumile Masire, akiwasha mwenge chini ya mti wa Marula kilipozaliwa BDP.
Rais Kikwete na mwenyeji wake, Rais wa Botswana, Luteni Jenerali Seretse Khama Ian Khama, wakiondoka katika hafla hiyo, mara baada ya kumalizika kwa shughuli mbalimbali uwanjani hapo.
No comments:
Post a Comment