TANGAZO


Wednesday, February 15, 2012

Rais Kikwete, asaidia kufyatua matofali Mradi wa Vijana Pwani


 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa ameshika tofali alipokuwa anasaidia kufyatua matofali ya kisasa kwenye kambi ya mafunzo ya ujasiriamali na ujenzi kwa vijana 380 toka wilaya zote za Mkoa wa Pwani, leo. (PICHA YA IKULU)
Rais Kikwete, akiweka mchanga kwenye chekeche kwa ajili ya kutoa uchafu kabla ya kufyatua matofali.

Rais Kikwete, akifyatua tofali kwa kutumia mashine ya kisasa.

Rais Kikwete, akitoa tofali alilolifyatua kwenye mashine ya kufyatulia.


 Rais Kikwete, akiliangalia tofali, alilolifyatua.

No comments:

Post a Comment