Rais Jakaya Kikwete akimsindikiza mjumbe maalumu wa Rais wa Urusi, Mikhail Margelov, Ikulu Dar es Salaam leo, January 13, 2012 mara baada ya kufanya mazungumzo naye. (Picha na Ikulu)
Rais Jakaya Kikwete, akiagana na mjumbe maalumu wa Rais wa Urusi, Mikhail
Margelov, Ikulu jijini, leo mara baada ya kufanya naye mazungumzo.
No comments:
Post a Comment