Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Barnaba akiwaburudisha wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Magnus katika onesho la 5 Select, ambalo hudhaminiwa na Kampuniya Simu ya Airtel Tanzania.
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Magnus, wakionesha umahiri wao katika
kulisakata rumba wakati wa onesho la 5selekt lililofanyanyika shuleni hapo
kwa udhamini wa Kampuni ya simu ya Airtel Tanzania.
No comments:
Post a Comment